Mbunge wa Malindi Aisha Jumwa akihiutubia wana habari punde tu baada ya kutimuliwa katika chama cha ODM kwa tuhuma za kukosa nidhamu. [Picha: Standard] Usidanganyane, ndoto za magavana Hassan Joho wa ...
Mgogoro ndani ya chama Cha Orange Democrartic Party (ODM), nchini Kenya unaendelea kukiyumbisha chama hicho wiki chache baada ya kifo cha kinara wake Raila Amollo Odinga. Raila odinga alifariki katika ...
Rais wa Kenya William Ruto amewateua vigogo wanne wa upinzani katika baraza lake la mawaziri, ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja wa maandamano ya kupinga serikali. Rais wa Kenya William Ruto amewateua ...
Kwa miaka mingi unapozungumzia siasa za Kenya, huwezi kumuacha nje Waziri Mkuu wa zamani Raila Amolo Odinga aliyeaga dunia nchini India Jumatano Oktoba 15 alipokuwa akipata matibabu. Na asiye mgeni wa ...